mkamanga original
JF-Expert Member
- Jan 21, 2015
- 637
- 663
Naomba kujua wadau, nikitaka kucheki game kwenye simu naomba app
TV zote zinaonyesha mechi ya Simba, kikubwa uwe umeunganisha na King'amuzi.Naomba kujua wadau, nikitaka kucheki game kwenye simu naomba app
[emoji22] [emoji22] [emoji22] aysee!!Game imeisha babu
Asv 5-0 Simba
Mi sipo huko, ni kwa vile tu imetuwakilishia taifaPoleni sana aise, mchezo ndivyo ulivyo