denooJ JF-Expert Member Joined Mar 31, 2020 Posts 18,509 Reaction score 68,228 Apr 20, 2021 #1 Wadau kwa anaejua ratiba atuwekee hapa tujue atacheza na nani, ataanzia nyumbani au ugenini.
Hadrianus JF-Expert Member Joined Feb 19, 2020 Posts 2,112 Reaction score 5,229 Apr 20, 2021 #2 Droo ya robo fainali itafanyika tarehe 30 mwezi wa 4 mwaka 2021. Timu ambayo Simba anaweza kukutana nayo hatua hiyo ni moja kati ya hizi tatu 1. Kaizer 2. Mc Alger 3. CRB Simba ataanzia ugenini
Droo ya robo fainali itafanyika tarehe 30 mwezi wa 4 mwaka 2021. Timu ambayo Simba anaweza kukutana nayo hatua hiyo ni moja kati ya hizi tatu 1. Kaizer 2. Mc Alger 3. CRB Simba ataanzia ugenini