Game za Yanga ziende dakika 120

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Kwa jinsi michezo ya hii timu ilivyokua raha kuitazama nitoe pendekezo kwa shirikisho kuipa credit yanga ili mechi zao zichezwe kwa dakika 120 maana ni full burudani, kwa kucheza dakika 90 tu ni kama tunaibiwa pesa zetu.

Mpira wa yanga ni mtamu mno hauchoki kuangalia pira burudani pira starehe...hakuna kukosakosa penati...full ball control....such kind of a modern football.

Hongera sana Dar es salaam Young Africans.
 
Kosa ni la makampuni ya mitandao kutoa toa hovyo ofa za mb kwakila mtu,wanakosa cha kuzifanyia ndo wanaandika andika mataputapu mitandaoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…