Lakini si kweli
Member
- Jun 18, 2025
- 84
- 151
Kwa nini mkuuInawezekana si kweli 🤔
Lakini si ni kweli?Kwa nini mkuu
Ni Gemstones mkuu siyo GamestoneWakuu habari za uzima , kwa wenyeji wa Tunduru Mkoani Ruvuma naomba kuuliza kuhusu gamestone zinazopatikana kwa wingi huko na biashara ikoje kwa kununua na ikitokea nikija na machine za kukata na kusafisha itakuwaje pia.
Je Ni kweli gamestone yote inapatikana hapo Tunduru au nyingine inavuka kutoka Msumbiji
Sawa mkuu karibu unipe mwangaNi Gemstones mkuu siyo Gamestone
Mkuu kwema ulifika tunduru au bado unaulizia ? Je wewe ni mtaalamu wa cuting na polish au? Je utachukua lesen halali kwa ajili ya biashara hii? Kama majibu ni ndio naomba ukomment hapaWakuu habari za uzima , kwa wenyeji wa Tunduru Mkoani Ruvuma naomba kuuliza kuhusu gamestone zinazopatikana kwa wingi huko na biashara ikoje kwa kununua na ikitokea nikija na machine za kukata na kusafisha itakuwaje pia.
Je Ni kweli gamestone yote inapatikana hapo Tunduru au nyingine inavuka kutoka Msumbiji