Gaming board mko vizuri lakini maswali yenu ni magumu mno na panel yenu ina watu wengi afu makauzu

Interview sio lazima ujibu maswali yote sahihi.
Huwa wanaangalia na vigezo vingine kama confidence,eyes contacts na appearance yako kimavazi.
Ok
 
Chatgpt alituingiza chaka paper la tra.
Yule mwamba usimuulize kitu ambacho hujui kabisa, anaweza kufelisha, walau uwe na abc na umchallenge, la sivyo anakuingiza chaka.

Pia na namna ya uulizaji swali, usipojua namna nzuri ya kuuliza swali linakuingiza mkenge.
 
Swali lq pili hata written tulitolewa
 
Maswali ya kawaida Sana haya kwa mkamaria...
 
Ndo yule alie uliza maswali wa kwanza kabisa
Ooh,hivi ndo yule aliyekua organizer wa interview kumbe?, jina lake sikulisikia vizuri ujue mkuu,ila wale jamaa kiukweli wamejipanga sana..atakayepata amepata kihalali...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…