Gaming board mko vizuri lakini maswali yenu ni magumu mno na panel yenu ina watu wengi afu makauzu

Ooh,hivi ndo yule aliyekua organizer wa interview kumbe?, jina lake sikulisikia vizuri ujue mkuu,ila wale jamaa kiukweli wamejipanga sana..atakayepata amepata kihalali...
Mi kama nlisikia akisema james ila naona kuna mkuu kasema sio jina lake
 
Wamewainterivew makimaaa aiseee
 
11...
Go kimaas nyie woteee
 
Kama uliyagusa gusa unaweza kutoboa
 
Leo tumepiga oral pale gaming board.

Jamaa wako vizuri,interview ilikua iko organized vizuri tu kwa kweli.

Kimbembe ni maswali yao ni magumu sio poa, panelist walikua 10 afu makauzu hawacheck na kima.
Hawa si ndiyo wanasimamia na mambo ya betting? Hata mhindi naye mgumu sana kumbe wanaendana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…