Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 31,559 Reaction score 42,179 Apr 20, 2024 #21 Mtukutu Mkuu said: 350 mzee maana Lenovo Hizo Nimeona zinacheza hapo Alafu hata fifa 19 inasukuma vizuri haigandigandi hata pes 2023 Click to expand... Tafuta Lenovo Ryzen 2500U fb naziona as cheap as 290,000 ina nguvu mara 5 ya hio, Fifa latest linalocheza bure ni Fifa 23 na halirun kwenye hio Gpu.
Mtukutu Mkuu said: 350 mzee maana Lenovo Hizo Nimeona zinacheza hapo Alafu hata fifa 19 inasukuma vizuri haigandigandi hata pes 2023 Click to expand... Tafuta Lenovo Ryzen 2500U fb naziona as cheap as 290,000 ina nguvu mara 5 ya hio, Fifa latest linalocheza bure ni Fifa 23 na halirun kwenye hio Gpu.
Mtukutu Mkuu JF-Expert Member Joined Jul 10, 2022 Posts 1,117 Reaction score 1,403 Apr 20, 2024 #22 Chief-Mkwawa said: Tafuta Lenovo Ryzen 2500U fb naziona as cheap as 290,000 ina nguvu mara 5 ya hio, Fifa latest linalocheza bure ni Fifa 23 na halirun kwenye hio Gpu. Click to expand... Mkuu model ndo Hiyo Lenovo Ryzen 2500 U ama?
Chief-Mkwawa said: Tafuta Lenovo Ryzen 2500U fb naziona as cheap as 290,000 ina nguvu mara 5 ya hio, Fifa latest linalocheza bure ni Fifa 23 na halirun kwenye hio Gpu. Click to expand... Mkuu model ndo Hiyo Lenovo Ryzen 2500 U ama?
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 31,559 Reaction score 42,179 Apr 20, 2024 #23 Mtukutu Mkuu said: Mkuu model ndo Hiyo Lenovo Ryzen 2500 U ama? Click to expand... Ryzen 2500U ni processor, model ni kama A480. Sema usikariri model kariri cpu, unaweza model hio hio ukapigwa. https://m.facebook.com/marketplace/item/3837830099871667/?ref=search Mfano hio. Hapo upgrade ram kwenda 16GB piece 2 za 8GB, na kama ssd ni M2, ongeza hdd kupata storage zaidi.
Mtukutu Mkuu said: Mkuu model ndo Hiyo Lenovo Ryzen 2500 U ama? Click to expand... Ryzen 2500U ni processor, model ni kama A480. Sema usikariri model kariri cpu, unaweza model hio hio ukapigwa. https://m.facebook.com/marketplace/item/3837830099871667/?ref=search Mfano hio. Hapo upgrade ram kwenda 16GB piece 2 za 8GB, na kama ssd ni M2, ongeza hdd kupata storage zaidi.
Mtukutu Mkuu JF-Expert Member Joined Jul 10, 2022 Posts 1,117 Reaction score 1,403 Apr 20, 2024 #24 Chief-Mkwawa said: Ryzen 2500U ni processor, model ni kama A480. Sema usikariri model kariri cpu, unaweza model hio hio ukapigwa. https://m.facebook.com/marketplace/item/3837830099871667/?ref=search Mfano hio. Hapo upgrade ram kwenda 16GB piece 2 za 8GB, na kama ssd ni M2, ongeza hdd kupata storage zaidi. Click to expand... Shukran sana chief
Chief-Mkwawa said: Ryzen 2500U ni processor, model ni kama A480. Sema usikariri model kariri cpu, unaweza model hio hio ukapigwa. https://m.facebook.com/marketplace/item/3837830099871667/?ref=search Mfano hio. Hapo upgrade ram kwenda 16GB piece 2 za 8GB, na kama ssd ni M2, ongeza hdd kupata storage zaidi. Click to expand... Shukran sana chief
E Eugene jun ba Member Joined May 26, 2024 Posts 49 Reaction score 20 Jun 1, 2024 #25 Elon Mzebuluni said: View attachment 2964921 Click to expand... mbona ya ki russian ruble mbona kama 3.3 million bro naiyo iko russian tu sio kwa county nyingine labda na china tu njoo tukutafutie pc gaming
Elon Mzebuluni said: View attachment 2964921 Click to expand... mbona ya ki russian ruble mbona kama 3.3 million bro naiyo iko russian tu sio kwa county nyingine labda na china tu njoo tukutafutie pc gaming