Click hiyo ni link Unaangalia vigezo gani kununua Laptop? Chagua Laptop inayoendana na matumizi yakoMwamba yupi
Hiii ni kweli ila kwann unakuta SSD ya core i5 11th generation 512gb 8gb ni nzuri kuliko HDD ya core i9 11th generation 512gb 8gb.iwe na SSD, siyo HDD, utanishukuru
HDD ni teknolojia ya kizamani , inatumia disk na usumaku kutunza dataYaani HDD ni mbaya kinoma kwann mkuuu
Ok sawasawaHDD ni teknolojia ya kizamani , inatumia disk na usumaku kutunza data
SSD ni ya kisasa inatumia pure electronics kutunza data,
utofauti hasa unauona pale game inapo load, hasa ukiwa una mods za kutosha
Hio pc ni Laptop ama Desktop? Budget kiasi gani?Wakuu
Nahitaji kununua gaming PC inayoweza kucheza euro truck simulator 2 bila kugandaganda yaani smooth tena kwa high graphic ni nini niangalie na kama unaweza kutoa dokezo la bei inaweza kua ngapi huko dukani condition yoyote iwe refurbished au used
Core i5 itacheza vizuri processor 2.2GHZ NA GRAPHIC CARD NIVIDIA AU INTELWakuu
Nahitaji kununua gaming PC inayoweza kucheza euro truck simulator 2 bila kugandaganda yaani smooth tena kwa high graphic ni nini niangalie na kama unaweza kutoa dokezo la bei inaweza kua ngapi huko dukani condition yoyote iwe refurbished au used
Uko sahihikama game hilo tu wala huitaji kuwa na gaming pc.
nafikiri hizi hizi computer za i3,i5 na i7 zenye intel graphics kuanzia 4000 na ram 4gb au kuendelea zinakufaa.
hilo game ni moja game jepesi hata dual core cpu inacheza bila shida. muhimu tu ukiwa na dual core cpu basi uwe na hata gpu za nvidia gt series au amd hd series.
Hiyo gemu ni nyepesi mkuuiwe na SSD, siyo HDD, utanishukuru