Gaming PCs zunaweza kutumika kwa matumizi mengine kama kutumia software ya Photoshop?

Gaming PCs zunaweza kutumika kwa matumizi mengine kama kutumia software ya Photoshop?

Ndio Ila Photoshop sidhani kama unahitaji pc yenye nguvu Sana hata bila GPU Photoshop inafanya vizuri gaming pc inafaa zaidi Kwa KAZI kama za animation kama blender hasa kwenye issue za ray tracing
Inategemeana photoshop unafanyia nini labda kazi za kawaida kama Graphic design ndio hautahitaji GPU, naitumia photoshop kufanya baking so nahitaji sana GPU
 
Ndio Ila Photoshop sidhani kama unahitaji pc yenye nguvu Sana hata bila GPU Photoshop inafanya vizuri gaming pc inafaa zaidi Kwa KAZI kama za animation kama blender hasa kwenye issue za ray tracing
Ina shida wewe
 
Yaaah inatumika vizr kabisa maana main hapo tunaangalia Graphics card..

Kama Pc imeweza ku handle ma game ambayo yanakula graphics card sio poa.
Basi kwa adobe ni kesi ndogo sana tena sana tuu... Hapo ni photoshop ila ukija kwa aftere effects au premier kidgo lazima tuangalie na RAM yako
 
Inategemeana photoshop unafanyia nini labda kazi za kawaida kama Graphic design ndio hautahitaji GPU, naitumia photoshop kufanya baking so nahitaji sana GPU
Ok, naitumia Photoshop kwenye pc yenye intel i7 4600U ambayo integrated card haina vram(intel hd 5000) Bali inategemea system RAM na inakizi mahitaji yangu, binafsi ram kubwa na spidi ina-matter zaidi kuliko dedicated GPU kwenye photoshop
 
Photoshop matumizi makubwa inahitaji RAM kubwa hadi 16GB kama unatumia CPU mode,
Lakini shida inakuja features nyingi now zinahitaji GPU, mfano Photographer sio heavy user lakini Camera Raw acceleration inahitaji GPU na ukizingatia wengi pro wanatumia Raw files,

GPU ni muhimu sana ila sio lazima na kwa mahitaji yangu GPU ni lazima mana nawork with 3D models, japo wameromove 3D kwenye toleo la 2024 natumia old version au naswitch to Adobe Substance 3D viewer.

Hata kama hawork with 3D hizi ni feature unazohitaji GPU ili uzitumie
👇👇👇👇

  • 3D
  • Birds Eye View
  • Flick Panning
  • Oil Paint
  • Perspective Warp
  • Render – Flame, Picture Frame, and Tree
  • Scrubby Zoom
  • Smooth Brush Resizing
 
Ni sawa na unataka kuchimba kaburi kwa greda akati majembe na chepeo yatosha.
 
Back
Top Bottom