Yes why not. kwanza zina gpu powerful so zinaweza kuhandle hiyo kituSwali langu lipo juu ya kichwa cha thread.
Inategemeana photoshop unafanyia nini labda kazi za kawaida kama Graphic design ndio hautahitaji GPU, naitumia photoshop kufanya baking so nahitaji sana GPUNdio Ila Photoshop sidhani kama unahitaji pc yenye nguvu Sana hata bila GPU Photoshop inafanya vizuri gaming pc inafaa zaidi Kwa KAZI kama za animation kama blender hasa kwenye issue za ray tracing
Ina shida weweNdio Ila Photoshop sidhani kama unahitaji pc yenye nguvu Sana hata bila GPU Photoshop inafanya vizuri gaming pc inafaa zaidi Kwa KAZI kama za animation kama blender hasa kwenye issue za ray tracing
Ok, naitumia Photoshop kwenye pc yenye intel i7 4600U ambayo integrated card haina vram(intel hd 5000) Bali inategemea system RAM na inakizi mahitaji yangu, binafsi ram kubwa na spidi ina-matter zaidi kuliko dedicated GPU kwenye photoshopInategemeana photoshop unafanyia nini labda kazi za kawaida kama Graphic design ndio hautahitaji GPU, naitumia photoshop kufanya baking so nahitaji sana GPU
Photoshop matumizi makubwa inahitaji RAM kubwa hadi 16GB kama unatumia CPU mode,Ok, naitumia Photoshop kwenye pc yenye intel i7 4600U ambayo integrated card haina vram(intel hd 5000) Bali inategemea system RAM na inakizi mahitaji yangu, binafsi ram kubwa na spidi ina-matter zaidi kuliko dedicated GPU kwenye photoshop