jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Tathmini yangu inaonesha Aziz K hakuonekana hatari kipindi Mayele amesimama kama lone striker lakini baada ya Mayele kuondoka Combination bora ilozakiwa yaani Aziz K, Max, Mzize na Mudathir.
Sasa turujee Ujio wa Dube na Chama utaona kama vile space ya Aziz kucheza imepunguzwa.
Gamond rudisha combination yetu pendwa.
Sasa turujee Ujio wa Dube na Chama utaona kama vile space ya Aziz kucheza imepunguzwa.
Gamond rudisha combination yetu pendwa.