NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Gamondi huu siyo muda tena wakumchezesha Pakome dakika za Majeruhi kwani Pakome ana combination nzuri sana na Azizi ki , endapo Pakome akianza naziona hat trick Kwa Azizi k hii ndiyo furaha yetu Wana Yanga SC.
Akichukua yule mtoto maneno yatakua mengi sana haswa wachambuzi was mchongo na baba Yao kolozidad
Chonde chonde Gamondi na Benchi Lako la ufundi na mliopo karibu na Gamondi mwambieni Kuwa Wanayanga furaha Yao ni kuchukua kombe La FA na kiatu Cha ufungaji bora kwa Azizi ki.