Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Gamond katoa msimamo huu mara tu baada ya kutua na ndege usiku wa manane akiwa na kikosi chake kilichovurugwa na Ihefu FC kule Mbarari. "Tumefungwa na Ihefu kwa bahati mbaya" hii ndio kauli ya kwanza aliyoitoa baada ya kupewa kipaza sauti.
Inaonekana wazi kuwa hajakubali kuwa wamefungwa na Ihefu kwa kuzidiwa mbinu bali amekazia kuwa wamefungwa na Ihefu kwa bahati mbaya na amewaahidi mashabiki wa Yanga Sc,kuwa hakuna timu ya kuifunga tena Yanga, iwe NBC au CAF Champions, mpaka msimu ukaishe makombe yote ni ya Yanga.
#mashabiki wa Yanga kuweni watulivu pira Gamondi lipo palepale.
Daima mbele nyuma mwiko!