Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Huyo hakuwemo uwanjani
Aisee 😂Mzize
Ni bahati mbaya mkuu [emoji23]Bahati mbaya goli 2?
Gamond katoa msimamo huu mara tu baada ya kutua na ndege usiku wa manane akiwa na kikosi chake kilichovurugwa na Ihefu FC kule Mbarari. "Tumefungwa na Ihefu kwa bahati mbaya" hii ndio kauli ya kwanza aliyoitoa baada ya kupewa kipaza sauti.
Inaonekana wazi kuwa hajakubali kuwa wamefungwa na Ihefu kwa kuzidiwa mbinu bali amekazia kuwa wamefungwa na Ihefu kwa bahati mbaya na amewaahidi mashabiki wa Yanga Sc,kuwa hakuna timu ya kuifunga tena Yanga, iwe NBC au CAF Champions, mpaka msimu ukaishe makombe yote ni ya Yanga.
#mashabiki wa Yanga kuweni watulivu pira Gamondi lipo palepale.
Daima mbele nyuma mwiko!
View attachment 2772601View attachment 2772602
Maana yake ni muda ulikwisha kabla goli zao hazijatinga nyavuni, ni bahati mbaya tu, naomba tumuamini Gamond wetu hatutafungwa tena.Au bahati mbaya maana yake nini??
Inaonekana wazi kuwa hajakubali kuwa wamefungwa na Ihefu kwa kuzidiwa mbinu bali amekazia kuwa wamefungwa na Ihefu kwa bahati mbaya na amewaahidi mashabiki wa Yanga Sc,kuwa hakuna timu ya kuifunga tena Yanga, iwe NBC au CAF Champions, mpaka msimu ukaishe makombe yote ni ya Yanga.[emoji23]Gamond katoa msimamo huu mara tu baada ya kutua na ndege usiku wa manane akiwa na kikosi chake kilichovurugwa na Ihefu FC kule Mbarari. "Tumefungwa na Ihefu kwa bahati mbaya" hii ndio kauli ya kwanza aliyoitoa baada ya kupewa kipaza sauti.
Inaonekana wazi kuwa hajakubali kuwa wamefungwa na Ihefu kwa kuzidiwa mbinu bali amekazia kuwa wamefungwa na Ihefu kwa bahati mbaya na amewaahidi mashabiki wa Yanga Sc,kuwa hakuna timu ya kuifunga tena Yanga, iwe NBC au CAF Champions, mpaka msimu ukaishe makombe yote ni ya Yanga.
#mashabiki wa Yanga kuweni watulivu pira Gamondi lipo palepale.
Daima mbele nyuma mwiko!
View attachment 2772601View attachment 2772602
Walifungwa kwa bahati mbaya 😅Bado nataka wachezaji wa Yanga waliocheza dhidi ya Ihefu wakamatwe na polisi wahojiwe ilikuwaje wakakubali kufungwa ilihali wanaliwakilisha Taifa kwenye mashindano ya CAF. Hiyo ni aibu kwa Taifa pia.
IhefuuuuuuuuuBahati mbaya goli 2?
Pengine waliwakilisha kwa bahati mbaya! Maana hii ni mara ya pili kuchakazwa naYanga wameniabisha kweli. Leo nimeshinda uvunguni tu, siwezi kutoa uso wangu nje kwa aibu niliyo nayo. Itawachukua muda mrefu sana au hata hawataweza kurudi kwenye position ya kwanza kwelnye ligi labda wasaidiwe na Azam au Namunga kuwarudisha Simba chini.
Bado nataka wachezaji wa Yanga waliocheza dhidi ya Ihefu wakamatwe na polisi wahojiwe ilikuwaje wakakubali kufungwa ilihali wanaliwakilisha Taifa kwenye mashindano ya CAF. Hiyo ni aibu kwa Taifa pia.
Yanga ni vibonde wao IhefuIhefuuuuuuuuu
Ihefuuuuuuuuu
Ihefuuuuuuuuu
Ihefuuuuuuuuu
Ihefuuuuuuuuu[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo maana ya timu ya wananchi,ni timu ya watu wa kawaida tu.Big up Young African Club.