Labani og JF-Expert Member Joined Sep 15, 2020 Posts 19,637 Reaction score 29,473 Dec 23, 2023 #1 Sorry mwalimu wa medeame wewe sio wakwanza kufukuzwa baada ya kufungwa na yanga Nikumbushe mwalimu mwingine aliefukuzwa baada ta kufungwa na yanga[emoji116][emoji116] Mwingine ni robertinho Toka mjini msimbazi NB Dhambi za gamondi apewe Nan???
Sorry mwalimu wa medeame wewe sio wakwanza kufukuzwa baada ya kufungwa na yanga Nikumbushe mwalimu mwingine aliefukuzwa baada ta kufungwa na yanga[emoji116][emoji116] Mwingine ni robertinho Toka mjini msimbazi NB Dhambi za gamondi apewe Nan???
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 52,160 Reaction score 48,974 Dec 23, 2023 #2 Nayo ni habari
Labani og JF-Expert Member Joined Sep 15, 2020 Posts 19,637 Reaction score 29,473 Dec 23, 2023 Thread starter #3 Mtoto halali na hela said: Nayo ni habari Click to expand... Yaaah mkuu......gamondi anasababisha majanga
Mtoto halali na hela said: Nayo ni habari Click to expand... Yaaah mkuu......gamondi anasababisha majanga