Rozela
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 845
- 2,235
Sikuile tumepigwa 2 na wale wa Sudan, yeye akapost kutuaga na kuonesha kuwa anaikubali sana Yanga.
Leo saa chache kabla ya mchezo kaposti eti anacheza golf ila ukiangalia kwa makini nikama anacheka na ukitumia jicho la kiroho ni kama anamzomea mtu.
Namsihi master Gamond asipost tena mpaka apate timu mpya aanze kuipost hiyo timu.
View: https://www.instagram.com/p/DDSDxODszKj/?img_index=2&igsh=MXUybDgzMm55OWk1Yw==