Gamondi anapenda mambo ya Kiswahili

Rozela

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
845
Reaction score
2,235
Sikuile tumepigwa 2 na wale wa Sudan, yeye akapost kutuaga na kuonesha kuwa anaikubali sana Yanga.

Leo saa chache kabla ya mchezo kaposti eti anacheza golf ila ukiangalia kwa makini nikama anacheka na ukitumia jicho la kiroho ni kama anamzomea mtu.

Namsihi master Gamond asipost tena mpaka apate timu mpya aanze kuipost hiyo timu.

View: https://www.instagram.com/p/DDSDxODszKj/?img_index=2&igsh=MXUybDgzMm55OWk1Yw==
 
Anakula pension yake. Keshachuma fedha ya jasho lake anakula bata. Bando ni lake ataposti anachotakašŸ¤“šŸ¤“
 
Nawewe kwanini utumie jicho la kiroho?
 
Yanga sasaivi hata mtu akicheka wanahisi wanachekwa wao
 
Ngozi nyeusi acheni kupangia watu maisha.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…