Ni kweli amepoteza mechi mbili mfululizo, lkn ni kocha gani aliwahi kuifunga Simba mara nne mfululizo zaidi yake? Wana Yanga tusijichanganye? Hata aibu ya karne ya (1 - 5) katubeba yeye.
Kwa upande wa records muhimu, katuvusha kucheza robo fainali (kibabe kwa kumjibu 4 - 0 muarabu Belouizdad), katetea ubingwa wa NBC na CRDB. Naomba tumpe benefit of doubt kwamba aliwakosa defenders muhimu na pia timu ina uchovu wa ratiba ngumu.
Aidha, sometimes wapinzani wanakuwa vizuri zaidi yetu kutokana ma sababu mbalimbali.
Kama kuna mengine ya nje ya uwanja basi uongozi ufanye rational decision