Gamondi ana muda mchache sana Yanga. Naona lile wazo kuwa tumwachie yeye ajipange mwenyewe linakuwa gumu sasa. Gamondi alianza kupandisha mabega akidhani yeye ndo yeye.
Huyu ataondoka ama sivyo akubali sasa kuwa yeye ni wa kawaida viongozi wanambeba sana kwenye ushindi na michakato yake. Hawezi na asilete kiburi.
Nashauri uongozi ukae na Manara wayamalize. Manara anajua anachofanya na mlimuudhi kipindi kile kusema yeye ni wa kawaida.