Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Leo Azam ashindwe mwenyewe, kiukweli akishindwa kumfunga Yanga Leo hatomfunga tena maishani mwake, Yanga ni mbovu mbovu, inasubiri Dube t aweke.
Upangaji wa kikosi wa Gamondi unatoa shaka kama kweli hawa makocha wa kizungu ni competent au vip.Dah
Upangaji wa kikosi wa Gamondi unatoa shaka kama kweli hawa makocha wa kizungu ni competent au vip.Dah