Gamondi kwa kikosi hiki sijui kama utakuwa salama Yanga

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Leo Azam ashindwe mwenyewe, kiukweli akishindwa kumfunga Yanga Leo hatomfunga tena maishani mwake, Yanga ni mbovu mbovu, inasubiri Dube t aweke.

Upangaji wa kikosi wa Gamondi unatoa shaka kama kweli hawa makocha wa kizungu ni competent au vip.Dah
 
Yanga ina changamoto kwenye mfungaji wa mwisho, kwingine kuko sawa kabisa.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Leo Azam ashindwe mwenyewe, kiukweli akishindwa kumfunga Yanga Leo hatomfunga tena maishani mwake, Yanga ni mbovu mbovu, inasubiri Dube t aweke.

Upangaji wa kikosi wa Gamondi unatoa shaka kama kweli hawa makocha wa kizungu ni competent au vip.Dah
Vip mkuu No Proff Nabi No Problem. Ahhhh
 
Leo Azam ashindwe mwenyewe, kiukweli akishindwa kumfunga Yanga Leo hatomfunga tena maishani mwake, Yanga ni mbovu mbovu, inasubiri Dube t aweke.

Upangaji wa kikosi wa Gamondi unatoa shaka kama kweli hawa makocha wa kizungu ni competent au vip.Dah
Tunasubiri matokeo. Maana kuna watu Mungu kawanyima kabisa mishipa ya aibu.
 
Leo Azam ashindwe mwenyewe, kiukweli akishindwa kumfunga Yanga Leo hatomfunga tena maishani mwake, Yanga ni mbovu mbovu, inasubiri Dube t aweke.

Upangaji wa kikosi wa Gamondi unatoa shaka kama kweli hawa makocha wa kizungu ni competent au vip.Dah
Tunapokea mawazo
 
Yanga upo uwezekano wakashinda karibia 90% ya mechi zao , kwakua wana punzi na nguvu nyingi.

Wamecheza kwa kasi dk zote 90. Wana kabia juu kwa nguvu muda wote kwenye Ligi yetu hakuna timu yenye punzi na nguvu ya kuhimili ali iyo kwa dk 90'
 
Je unasemaje
 
Yanga upo uwezekano wakashinda karibia 90% ya mechi zao , kwakua wana punzi na nguvu nyingi.
wamecheza kwa kasi dk zote 90. Wana kabia juu kwa nguvu muda wote kwenye Ligi yetu hakuna timu yenye punzi na nguvu ya kuhimili ali iyo kwa dk 90'
Hawajakutana kashi kashi Azamu hamna timu pale
 
Mi Yanga lkn mh! Forward mishenziiii ileee.....yaan yanakelaaaa kama hajaishi na Mayele kendeeee zaoo. Kimataifa hatutoboi makundi.
 
Leo Azam ashindwe mwenyewe, kiukweli akishindwa kumfunga Yanga Leo hatomfunga tena maishani mwake, Yanga ni mbovu mbovu, inasubiri Dube t aweke.

Upangaji wa kikosi wa Gamondi unatoa shaka kama kweli hawa makocha wa kizungu ni competent au vip.Dah
Matokeo ngapi huko ww ndumila kuwili
 
Umeruudi kuangalia thread yako wewe kolo?
 
Yanga upo uwezekano wakashinda karibia 90% ya mechi zao , kwakua wana punzi na nguvu nyingi.

Wamecheza kwa kasi dk zote 90. Wana kabia juu kwa nguvu muda wote kwenye Ligi yetu hakuna timu yenye punzi na nguvu ya kuhimili ali iyo kwa dk 90'
Nimethibitisha ulichoongea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…