Gamondi leo afanye umafia huu kwa Vital'O, atumie mfumo wa 4-3-3

Gamondi leo afanye umafia huu kwa Vital'O, atumie mfumo wa 4-3-3

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Klabu ya Yanga leo itatupa karata yake ya kwanza katika michuano ya Caf Champions ligi dhidi ya Vital'O ya Burudi mchezo ambao utachezwa katika dimba la Azam Complex Chamazi saa 10 kamili jioni.

Kocha mkuu wa Yanga Migeul Gamondi amesema wapo tayari kwa mchezo huo na atafanya kila jambo zuri ndani ya uwanja ili timu yake kupata matokeo mazuri.

Kikosi ambacho naona kitakacho kwenda kuivaa leo Vitalo ni hiki hapa
Diarra, Yao Kwasi, Shadracki Boka, Dikson Job, Ibrahim Bacca, Aucho, Mudathiri, Pacome, Max Mpia, Aziz Ki na Price Dube

Mfumo ambao Naona Gamond anawweza kuutumia leo dhidi ya Vital'O 4-3-3 anaweza kupata matoke mazuri zaidi tena kwa idadi kubwa tu ya magoli.

Faida ya Yanga mechi zote na Vital'O kuchezwa hapa Tanzania kama ilivyokuwa katika michezo mingine iliyopita katika mashindao haya ya Caf Champios Ligi.

Soma Pia: CAFCL: Vital'O Vs Yanga | Preliminary Stage 1st Leg | Azam Complex | 17.08.2024

Kazi kwao Wananchi kuiyaza safari ya kufikia malengo yao ya msimu huu.

LLLL.jpg
 
Nyie hamuogopi?
Yanga tuogope? Labda tuwe na hofu ya wachezaji kuumia. Tunazo mechi mbili ambazo lazima tufuzu kwa mbinu zozote zile. Hata kama sio leo ila kufuzu lazima
 
Back
Top Bottom