Tetesi: Gamondi na Uongozi wa Yanga kwenye kikao kizito

Tetesi: Gamondi na Uongozi wa Yanga kwenye kikao kizito

Gamond si juzi kati tu hapa ameongezewa mkataba na mshahara mzito?

Ila ile kauli ya yule Kocha wa timu fulani taratibu naanza kuuelewa mshangao wake kumuona Gamond kama kocha Mkuu.

Jamaa alisema huyu ni fitness coach how come anafundisha kama kocha Mkuu tena kikosi cha kwanza??

Nimeweka doubt hapo
 
  • Kicheko
Reactions: K11

Kocha yupi alisema Gamondi NI fitness coach?
 
Timu umekuwa kubwa kushinda uwezo wa kocha huu ni ukweli mchungu sub zake hazina impact anakamia game kubwa tu game ndogo zinamshinda apishe wengine wafanye kazi !!

Yanga sio timu ya kujalibisha wachezaji

Leo dube, kesho mzinze, keshokutwa musonda, then Baleke

Kocha timu imekuwa kubwa kuliko uwezo wake!!!
 
Actually kwa tuliosoma Cuba. Kilichotokea leo siyo bahati mbaya. Nadhani Gamond na baadhi ya wachezaji Kuna mambo hayako sawa
 
Back
Top Bottom