Gamondi:Tunaenda kumfunga Al Ahyl kwake na siyo kukamilisha ratiba

Zouzoutz

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
1,883
Reaction score
2,732
Akihojiwa na vyombo vya habari,kocha wa CAF Gamondi amenukuliwa akisema kuwa ni full show show.

Ajaenda Misri kukamilisha ratiba na hajaenda kuuza sura

Anasema anaenda kuweka rekodi ya kumfunga Al Ahyl kwake,ambayo ni rekodi

Na siyo tu kumfunga na pia kuongoza kundi

Al Ahyl na wapambe wao wajiandae kisaikolojia
 
Wabongo aisee kunogesha maneno tupo vizuri. Alichosema Gamond

β€œKucheza na Al Ahly sio jambo rahisi, tunafahamu ukubwa wa klabu hii na tupo tayari kupambana, ni wasaa wa kuonesha sanaa ya soka letu ni matarajio yangu kuona mchezo mgumu wa kimbinu naheshimu sana daraja la Ahly lakini niwahakikishie hatuna hofu yoyote tumekuja kushindana sio kukamilisha ratiba, malengo yetu ni kushinda mchezo huu" ” Miguel Gamondi
 
 
vibertz
Jisomee mwenyewe hapo juu
View attachment 2920495View attachment 2920496
 
Aamin aamin Aamin!
Forever and always πŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ

Cc Smart911
 
Sawa.wafungeni kama mlivyotaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…