Nyamsusa JB
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 567
- 1,564
Gangasta's Paradise ni moja ya Miziki mikubwa kabisa kutokea dunia, ngoma hii kali ilirekodiwa mwaka 1995 na mwanamziki Leon Ivey Jr maarufu kwa jina la kisanii Coolio, ndani yake kwenye kibwagizo alisimama mzee mzima mkari wa RnB LV .
Ngoma hii mpaka leo ikipigwa lazima mtu uifeel hata kama wewe sio mhenga.
Kwakweli ngoma kama hii ni adimu sana kuja kutokea na inaweza istokee ngoma kali ya HipHop kama hii.
Yaani utamu unaanzia tu jamaa alivyolianzisha "As I walk through the valley of shadow of Death"
Na baadae kabisa unakutana na mzee mzima LV anakuuliza "Tell me why are we so blind to see, That the ones we hurt are you and me?
Hii Ngoma pia utaipenda zaidi kwenye remix yake ambapo sasa Mhenga mwingine Kuntu Stevie Wonder anaingia na aningiza vocal za kiutu uzima, aisee tupate wapi miziki kama hii.
Coolio mwenyewe hii ngoma imemtesa sana manaake hajawahi kupata ngoma ya dunia kama hii japo ngoma "I C U When You Get There" ilijaribu kidogo lakini haikufuata hata kidogo ngoma hii "Gangsta's Paradise" hii ilifika Platinum ya juu kabisa mwaka 1996.
Nisikuchoshe sana check Live Performance ya hawa jamaa watatu Coolio, LV na Mkongwe Stevie Wounder, alafu wewe ndo utasema sasa.