Ganja ni kwere

Ganja ni kwere

pitbull

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2011
Posts
596
Reaction score
184
kuna jamaa kichakani walikuwa wanavuta bangi wakavuuta mpaka kiberiti kikaisha ikabidi wamtume mmoja wao akatafute kiberiti jamaa akazunguka kile kichaka akarudi pale pale kwa washkaji akawauliza mazee mna kiberiti jamaa wakajibu kuna mtu tumemtuma anakuja cc hivi!!
 
kweli noma hadi wanasahauliana wao kwa wao!!
 
kuna jamaa kichakani walikuwa wanavuta bangi wakavuuta mpaka kiberiti kikaisha ikabidi wamtume mmoja wao akatafute kiberiti jamaa akazunguka kile kichaka akarudi pale pale kwa washkaji akawauliza mazee mna kiberiti jamaa wakajibu kuna mtu tumemtuma anakuja cc hivi!!
Kweli ndumu ni noma..!!
 
Bila Shaka na mtoa mada umevuta bangi maana umekosa huruma kwa mbavu zangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
kuna jamaa kichakani walikuwa wanavuta bangi wakavuuta mpaka kiberiti kikaisha ikabidi wamtume mmoja wao akatafute kiberiti jamaa akazunguka kile kichaka akarudi pale pale kwa washkaji akawauliza mazee mna kiberiti jamaa wakajibu kuna mtu tumemtuma anakuja cc hivi!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hii sio bhangi hawa wamerogwa
 
Back
Top Bottom