wanajf nasumbuliwa ganzi kwa muda mrefu sana naomba mnisaidie tiba yake au ni hospital gani au dokta gani ni mtaalam wa ugonjwa huu. Dawa nimetumia sana na kuna baadhi ya watu wanahusisha ugonjwa wa ganzi na maradhi ya moyo kuwa ndio chanzo. Na zaidi ya miaka ya 7 nasumbuliwa na ganzi.
ni vyema ukisema majina ya dawa ulizo wahi kutumia,vilevile kuhudhuria hospital kwa ajili ya vipimo kama cha sukari,vipi hyo pressure ulotaja hapo umewahi kucheck kwa mtaalam,kama ndivyo ilikuaje.
Yawezekana una upungufu wa madini ya Calcium au yale yanayoongeza neuro transmiters especilly phosphorous chloride... (kitu kama hicho) Jitahidi sana kula samaki, maini, maziwa na chumvi ya kutosha to begin with...