Ganzi vidolen,maumiv kiunoni msaada

Ganzi vidolen,maumiv kiunoni msaada

Box 2

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
506
Reaction score
117
Mgonjwa huyu naishi nae nyumba moja,ana ganz vidole vya mguun vitatu amepima vipimo ikiwepo uzito,sukar n.k,amepigwa x ray ya mguu na mgongo majibu hakuna tatizo,alianza agha khan,then muhimbil na mwisho regency hospital kaishia kupewa dawa amabazo zilimsaidia kumaliza tatizo la maumivu vidolen,lakin sasa anasikia maumiv kiunon sehem hiyohiyo ambayo kuna ganzi mguun,wataalam tusaidien dawa gan tumpatie aondokane na tatizo hili,dawa alizopewa hospital kamaliza lakin tatizo bado,msaada wenu tafadhar
 
Mkuu ukishindwa njia za binadamu unamkimbilia Mungu ambaye ameahidi kutomuacha yeyote atakaemkimbilia kwa kilio.


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom