Jaribu kupita pale ilala-gerezani kwenye maduka ya used spare parts unaweza bahatisha!Naweza kupata kipande cha mbele cha toyota mark2 gx110 yan kuanzia kwwnye kioo cha mbele mpaka show yote ya mbele coz ilipata ajali haifai kurekebishwa maana airbag zote zimetoka.
Jaribu kupita pale ilala-gerezani kwenye maduka ya used spare parts unaweza bahatisha!
Aisin motors naweza kupata mawasiliano naopia jaribu kuwacheki aisin motors wapo arusha huwezi kosa
Aisin motors naweza kupata mawasiliano nao
NOSE CUTNaweza kupata kipande cha mbele cha toyota mark2 gx110 yan kuanzia kwwnye kioo cha mbele mpaka show yote ya mbele coz ilipata ajali haifai kurekebishwa maana airbag zote zimetoka.
Niko dar tegetaNOSE CUT
uko wap??