Garage gani ina mafundi wazuri mbeya mjini.

Garage gani ina mafundi wazuri mbeya mjini.

kateka

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2012
Posts
593
Reaction score
398
Wakuu heshima kwenu, samahani naomba kujulishwa garage nzuri mbeya mjini yenye mafundi wajuzi (competent) wa magari madogo ya petrol, garage ni nyingi hapa mjini but wapi hasa kuna mafundi wazuri wasio na longolongo? natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom