K kateka JF-Expert Member Joined Nov 30, 2012 Posts 593 Reaction score 398 Sep 5, 2016 #1 Wakuu heshima kwenu, samahani naomba kujulishwa garage nzuri mbeya mjini yenye mafundi wajuzi (competent) wa magari madogo ya petrol, garage ni nyingi hapa mjini but wapi hasa kuna mafundi wazuri wasio na longolongo? natanguliza shukrani.
Wakuu heshima kwenu, samahani naomba kujulishwa garage nzuri mbeya mjini yenye mafundi wajuzi (competent) wa magari madogo ya petrol, garage ni nyingi hapa mjini but wapi hasa kuna mafundi wazuri wasio na longolongo? natanguliza shukrani.