Mamserenger
JF-Expert Member
- Oct 14, 2019
- 1,156
- 2,092
Wakuu wangu nawasalimu.
Naomba kujuzwa Garage Gani nzuri isio na usumbufu ambayo naweza peleka kiatu changu kilicho pata ajali na kukipaki home Kwa zaidi ya miez kadhaa kwa ajili ya kujichanga nipate pesa ya kukirudisha bara barani tena...?
Na Je...? Tairi za DunLop zina sima mia beigani Kwa saizi ya Gari aina ya X trail.
Koz Nina rafiki zangu Wana mpango wa kuchukua tairi 10 Kwa mkupuo.Na je wanawezaje kupata Discount wakuu zangu.
Napatikana Dar Banana