Garage ipi nzuri kwa magari ya ford explorer mkoani Arusha?

Garage ipi nzuri kwa magari ya ford explorer mkoani Arusha?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Wakuu habari?

Naulizia kwa Arusha, ni garage gani nzuri kwa magari ya aina ya ford (explorer), pamoja na upartikanaji wa spare zake?
 
Mtaa wa esso kuna garage inaitwa arusha art na kuna nyingine ya mbele yake ya waarabu (nimesahau jina ) ...

wako vizuri kwenye kupima na kufaham tatizo la gari wajaribu....(i stand to be corected niliendaga) hapo mwaka jana ila haikuwa ford ila wanaweza kutengeneza magari mengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtaa wa esso kuna garage inaitwa arusha art na kuna nyingine ya mbele yake ya waarabu (nimesahau jina ) ...wako vizuri kwenye kupima na kufaham tatizo la gari wajaribu....(i stand to be corected niliendaga) hapo mwaka jana ila haikuwa ford ila wanaweza kutengeneza magari mengi

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mkuu
 
Back
Top Bottom