Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Njoo temeke veterinary hapa kituo cha oil com mandela road hutajuta mkuu
Nawajua hao. Wako vizuri. Hafu kwenye game kitambo.Njoo temeke veterinary hapa kituo cha oil com mandela road hutajuta mkuu
Bado wapo niende leo?Njoo temeke veterinary hapa kituo cha oil com mandela road hutajuta mkuu
Bado wapo? Nataka niende.Nawajua hao. Wako vizuri. Hafu kwenye game kitambo.
Siyo kila swali utapata jibu hapa au kila tatizo utapata suluhu. Tumia akili yako mwananguWakuu salama?
Nipo dilemma hapa nataka kufanya wheel balance & allignment. Kuna THE WHEEL na EVOLUTION watu wanaziongelea sana kwa haya masuala.
Wapi wapo vizuri kwa wataalam mliowai zitumia hizo garage kwa car service,? Nipeni mwongozo kdgo