Vipi wachina wana bei kubwa sana au ni reasonableMeriwa kwa rumisha kuna garage, kuna dogo anaitwa Rajabu. Maili mbili opposite na kanisa la k ndege kuna garage nyingine ulizia chalii mmoja anaitwa Mushi, nae ananyoosha na kupiga rangi vizuri sana.. if at all you cant afford wachina na hao nduvini
Shida ni chasis tu,haijaguswa,Vipi wachina wana bei kubwa sana au ni reasonable