Garage nzuri ya Nissan Engine

Garage nzuri ya Nissan Engine

Only that? Jina la Garage? Namba ya simu?
Namba ya simu sina Ila akifika Tu Tabata matumbi ataoneshwa hiyo garage!!
Au kama atashindwa kwenda Tabata matumbi aende pale mitaa ya shaurimoyo Kariakoo opposite na stand ya kigamboni hapo kuna mafundi kibao wa Nissan na Subaru
 
Nissan nenda kwenye mafundi wanaoeleweka ama pale Morocco Total au Nissan pugu road
 
Back
Top Bottom