Only that? Jina la Garage? Namba ya simu?Nenda Tabata matumbi
Mimi nilidhani kununua engine ingine ni rahisi kuliko overhaulWakuu naomba msaada, Garage ipi nzuri inafaa kufanyia engine overall Nissan Civilian kwa hapa Dar?
Namba ya simu sina Ila akifika Tu Tabata matumbi ataoneshwa hiyo garage!!Only that? Jina la Garage? Namba ya simu?
OkayNamba ya simu sina Ila akifika Tu Tabata matumbi ataoneshwa hiyo garage!!
Au kama atashindwa kwenda Tabata matumbi aende pale mitaa ya shaurimoyo Kariakoo opposite na stand ya kigamboni hapo kuna mafundi kibao wa Nissan na Subaru
Peleka Nissan Pugu Road ila andaa pesa ya maanaWakuu naomba msaada, Garage ipi nzuri inafaa kufanyia engine overall Nissan Civilian kwa hapa Dar?