Planner JF-Expert Member Joined Apr 5, 2011 Posts 348 Reaction score 149 Aug 3, 2014 #1 Habari wadau, Naomba kwa mwenye kufahamu garage ya magari dar(wachina etc)ambayo wako vizuri na general service plus spare parts za nissan etc kuna kausafiri nataka nikakapendezeshe. Natanguliza shukrani nyingi!
Habari wadau, Naomba kwa mwenye kufahamu garage ya magari dar(wachina etc)ambayo wako vizuri na general service plus spare parts za nissan etc kuna kausafiri nataka nikakapendezeshe. Natanguliza shukrani nyingi!