WomanOfSubstance
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 963
ni mzuri sana kila kitu anafanya sawa na ni mkarimu wa hali ya juu kwangu hata kwa ndugu na jamaa wengine, knye mechi nimepita sehemu nyingi sana ila mechi yake ni yakiwango cha juu sana ila tatizo ndio hapo knye cash na matumizi tu pananikera
kaka mimi ni bahili sana, ila ndio ule usumbufu wa kutaka kila wakati

mbahili ndio maana anakuomba omba. Ungekuwa unakumbuka wajibu wako kwake wala usingesumbuliwa.
Na ubahili wako huo ukija kumuweka ndani kazi unayo. Rekebisheni hiyo mambo kabla hamjaoana.
kuoa siyo kitu ya siku moja natakiwa nijipange vizu ni process za muda kama six month kuanzia sasa
mbahili ndio maana anakuomba omba. Ungekuwa unakumbuka wajibu wako kwake wala usingesumbuliwa.
Na ubahili wako huo ukija kumuweka ndani kazi unayo. Rekebisheni hiyo mambo kabla hamjaoana.
Hili la ubahili hili nalo neno!!! Mwanaume mwingine hatoi wala hajui kama anatakiwa kutoa, mpaka uombe mwenyewe!!! Kwa sisi ambao ni wavivu kuomba kazi tunayo!!! Naomba hela ya saloni, naomba hela ya....duu sijui......
Ulichosema ni ukweli kabisa na kinasumbua wanaume wengi na kwa namna moja au nyingine inatoa picha mbaya kwa wasichana kuwa hatuna utu bali kuzidiwa tamaa....nimekupa thanks yangu,uwe unaleta mada kama hizi za ukweli!!!!
kama unafanya kazi au pesa unayo ni lazima tena mimi nikupe ndio urizike?
Yap, unatoa kwa mapenzi tu, tena unaweza ukatoa wala nisiitumie ukashangaa tukaitumia tena pamoja.
Cha muhimu usiwe na mkono wa birika!!!
Naamini kabisa starehe ni gharama lakini siku hizi wakina dada (wepenzi wetu) wamezidi kutunyonya yeye siyo mke wangu siyo mwanangu wala siyo mama yangu lakini invoice/bill yake kwa mwezi ni kubwa kuliko ya mtu mwinge je nitakapo muoa itakuwaje!
wakina dada muwe na huruma kidogo mimi saloon kwa mwezi natumia 4,500/= yeye zaidi ya 45,000/=
mama yangu mzazi namtumia 20,000/= kwa mwezi kijijini huyu demu anataka zaidi ya 200,000/= za matumizi yake binafsi
mimi navaa kiatu kimoja kwa mwaka yeye kila mwezi anataka kiatu kipya na pamba mpya
bado hujaweka mafuta, perfum, sabuni, outing (knye kunywa atagiza vya bei ya juu hata kama hajawah kuviona) , nk
pengine hata kipato changu anakijua lakini atakavyo kubana hadi sent ya mwisho.
JAMANI MTATUUWA KABLA YA WAKATI TUNACHOKA BASI TU HATUSEMI TUNAKUFA NA KITANZI SHINGONO MUWE NA UTU WA UBINADAMU
Ulichosema ni ukweli kabisa na kinasumbua wanaume wengi na kwa namna moja au nyingine inatoa picha mbaya kwa wasichana kuwa hatuna utu bali kuzidiwa tamaa....nimekupa thanks yangu,uwe unaleta mada kama hizi za ukweli!!!!
Naamini kabisa starehe ni gharama lakini siku hizi wakina dada (wepenzi wetu) wamezidi kutunyonya yeye siyo mke wangu siyo mwanangu wala siyo mama yangu lakini invoice/bill yake kwa mwezi ni kubwa kuliko ya mtu mwinge je nitakapo muoa itakuwaje!
wakina dada muwe na huruma kidogo mimi saloon kwa mwezi natumia 4,500/= yeye zaidi ya 45,000/=
mama yangu mzazi namtumia 20,000/= kwa mwezi kijijini huyu demu anataka zaidi ya 200,000/= za matumizi yake binafsi
mimi navaa kiatu kimoja kwa mwaka yeye kila mwezi anataka kiatu kipya na pamba mpya
bado hujaweka mafuta, perfum, sabuni, outing (knye kunywa atagiza vya bei ya juu hata kama hajawah kuviona) , nk
pengine hata kipato changu anakijua lakini atakavyo kubana hadi sent ya mwisho.
JAMANI MTATUUWA KABLA YA WAKATI TUNACHOKA BASI TU HATUSEMI TUNAKUFA NA KITANZI SHINGONO MUWE NA UTU WA UBINADAMU
kwa sisi wavivu mwenzangu tutajimuvuzisha mapema kabla havijachacha.Hili la ubahili hili nalo neno!!! Mwanaume mwingine hatoi wala hajui kama anatakiwa kutoa, mpaka uombe mwenyewe!!! Kwa sisi ambao ni wavivu kuomba kazi tunayo!!! Naomba hela ya saloni, naomba hela ya....duu sijui......