Alex Makumbi Member Joined May 25, 2022 Posts 6 Reaction score 4 May 26, 2022 #1 Kama nataka kujenga nyumba ya vyumba3 sebre, dining na jiko inaweza kunigarimu Bei gan had kufikia kupiga Bati Iwe ni maeneo ya mjini
Kama nataka kujenga nyumba ya vyumba3 sebre, dining na jiko inaweza kunigarimu Bei gan had kufikia kupiga Bati Iwe ni maeneo ya mjini
Kaudunde Kautwange JF-Expert Member Joined Nov 15, 2011 Posts 1,644 Reaction score 1,648 May 26, 2022 #2 Bila bati, haipungui 9M.. na bati, inategemea na aina ya bati
Shangani JF-Expert Member Joined Nov 2, 2014 Posts 761 Reaction score 1,076 May 27, 2022 #3 Mkoa gani? Tanzania kubwa Sana.
R Rasterman JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 33,894 Reaction score 44,117 May 29, 2022 #4 Alex Makumbi said: Kama nataka kujenga nyumba ya vyumba3 sebre, dining na jiko inaweza kunigarimu Bei gan had kufikia kupiga Bati Iwe ni maeneo ya mjini Click to expand... Kama ni Dar then andaa 9-11m
Alex Makumbi said: Kama nataka kujenga nyumba ya vyumba3 sebre, dining na jiko inaweza kunigarimu Bei gan had kufikia kupiga Bati Iwe ni maeneo ya mjini Click to expand... Kama ni Dar then andaa 9-11m