garama za tv programme

garama za tv programme

Ngamba

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2013
Posts
750
Reaction score
151
jameni wanajasilimari , naomba msaada kama kuna mtu anajua
  1. garama za kutengeneza kipindi cha tv cha dakika 60
  2. garama cha kurusha kipindi cha tv cha dakika 60, na maaanisha airtime charges

somehow im thinking outside the box
 
Inategemea na kipindi: Kipindi cha ndani ya studio au unarecord nje na ani wapi, wahojiwa ni wakina nani au artists, ni program ya kawaida au kama documentary, yaani ina mambo mengi labda uelezee aina ya kipindi unachotaka then nitakuwa kwenye position ya kukuadvise

Dakika 60 kwa kipindi ni nyingi sana sana! watu hawataangalia, labda kama ni live show na inavutia hasa, kwanza kupata airtime ya dakika 60 mhh katika muda mzuri huwa ni ngumu mara nyingi zishabukiwa labda muda ule ambao si wawatazamaji wengi, saa moja sidhani kama inapungua 7 mil au aroudn hapo kwa hivi sasa, niandikie maelezo kama nilivyokueleza hapo juu nikushauri zaidi
 
Fanya 30 wewe uko wapi mimi nakuja dar tukutane nitaku saidia
 
jameni wanajasilimari , naomba msaada kama kuna mtu anajua
  1. garama za kutengeneza kipindi cha tv cha dakika 60
  2. garama cha kurusha kipindi cha tv cha dakika 60, na maaanisha airtime charges

somehow im thinking outside the box

kama una crew yako ya kuandaa ya kipindi na kutaka kurusha kwa TV yoyote tanzania cost za airtime ni kati ya 4m to 8m kutoka na muda unaotaka.sasa hapo wewe utajua unaingiza vip,lakini lazima content za kipindi zijulikane kwa wamiliki wa tv stations .

kama unataka kaunzisha kipindi kwa kushirikiana na TV stations hapa lazima uwaandikie proposal ili watazame kama kitaweza pata wadhamini nk.

mimi niliazisha kipindi katika channel ten cha kila wiki,unaweza kuni PM nikakupa mwanga


Byabato
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom