Inategemea na kipindi: Kipindi cha ndani ya studio au unarecord nje na ani wapi, wahojiwa ni wakina nani au artists, ni program ya kawaida au kama documentary, yaani ina mambo mengi labda uelezee aina ya kipindi unachotaka then nitakuwa kwenye position ya kukuadvise
Dakika 60 kwa kipindi ni nyingi sana sana! watu hawataangalia, labda kama ni live show na inavutia hasa, kwanza kupata airtime ya dakika 60 mhh katika muda mzuri huwa ni ngumu mara nyingi zishabukiwa labda muda ule ambao si wawatazamaji wengi, saa moja sidhani kama inapungua 7 mil au aroudn hapo kwa hivi sasa, niandikie maelezo kama nilivyokueleza hapo juu nikushauri zaidi