Garatwa: Kila Shilingi iliyoletwa CHADEMA na Mbowe baadae aliidai kama bili au deni kwa chama hata kama ni pesa toka kwa wafadhili au wahisani

Nimependa analysis yako inafikirisha sana, unajua ukweli hujitenga na uhongo. Ukifikilia na kutumia akili ya kawaida tu maswali yako yanamake sense. Na ndiye mpinzani aliyefaidika sana na siasa za upinzani, mbali ya kuambiwa vitega uchumu vyake vimechomwa, amenyanganywa lakini tunaona akishusha magorofa ya ghalama za juu sana. Ninaanza kukubali kwamba inaezekana kila kinachopotezwa au kunyanganywa narudishiwa kwa njia nyingine. Kwa hali ya kawaida haiwezekani. Ndiye mpinzani ambaye hajawahi kudai vuguvugu la kudai haki mbali ya enzake wote kudai, kwa nini?
 
Unanifanya nikumbuke zile shangwe za hayati kwamba "Mbowe oyeeee...!"
 
Ili chama kinusurike na anguko kuu lazima Mbowe akae pembeni awe mwanachama wa kawaida apishe mawazo mapya
hana hasara kiwe hai au kife ila hawezi kumuachia mtu yeye akawe pembeni never
 
Matapeli wanaumbuana njoo n. Hukuu

Pambafuu alafuu ndioo wanataka ikuluu nyoooo
 
Mbowe must go
 
2. Mbowe ndiye Mwanachama pekee wa CHADEMA ama wa upinzani kwa sasa anayeweza kuipinga Serikali ya CCM hadharani; na ASITEKWE
3. Mbowe ni Mwanachama pekee ndani ya CHADEMA ambaye hajawahi kuishi nje ya nchi kama MKIMBIZI
Kumbe kutekwa na kuwa mkimbizi ni sifa muhimu za mpinzani halisi!
 
Kwanini hataki kuachia wengine?
Uongozi wa juu katika ngazi zote za CHADEMA kuanzia tawi hadi taifa sio wa kuachiana kama mali ya urithi wa familia, katiba ya chama inalazimisha kufanyika uchaguzi.

Ingekuwa kuachiana, Mbowe angetakiwa amuachie nani kati ya wagombea wengine watatu waliokitokeza?
 
Sabaya alisumbua sana mbowe jamani. Hadi kuvamia kwake na hoteli zake na biashara zake zilisumbuliwa so tuweke mafile kdgo sawa. Japo kweli amelipwa hasara ya mali zake
 
Tuko pamoja mkuu
 
siasa za majitaka.mbona hukuyasema hapo nyuma.? yale yale ya kumsinginizia MAGUFULI kuwa ni muhutu wa rwanda .acheni ujinga aisee.pumbafu kabisa.Roho ya unafiki mbaya sana.hatuwezi endelea kwa roho mbaya za namna hii nakwambia.
Unasemaje jambo kabla ya kulijua..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…