Garatwa: Kila Shilingi iliyoletwa CHADEMA na Mbowe baadae aliidai kama bili au deni kwa chama hata kama ni pesa toka kwa wafadhili au wahisani

Huo ni udikteta
 
Hahaha Kazi Tunayo
Na Hicho Chama Unadhani Rahisi Kukiunda Chini ya Majan
 
Naafiki, Yaani mbowe atoe pesa chadema burebure tu?
 
jambo pekee linalowapa sisiemu faraja ni kwamba, Tanzania hakuna chama kingine cha siasa nje ya chadema kinachoweza kuwapa usumbufu, na chadema nayo ipo mfukono kwa kulambisha mwenyekiti asali. kwahiyo CCM wapo salama kabisa.
 
Jana Garatwa kaongea vizuri san Star TV
 
Mbowe ni balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…