Garden love. . . . !!

Eiyer

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2011
Posts
28,259
Reaction score
20,891
Hilo neno linapotamkwa linajulikana kabisa linahusu nini,lakini wengi huhisi inamhusu zaidi mwanaume.Lakini kuna wanawake nao wana garden bana.Kuna mmoja nilimfuma akifanya mazoezi uwanjani,duh nilikodo kisha nikaendelea na 50 zangu,lakini zaidi vidume waliowalamba hawa wanawake wenye hii kitu wanasema ni watam(huu msemo amenifundisha gfsonwin) na wana joto.Haya vidume hebu fungukeni mtujuze. . . . . . . Yana ukweli haya?
 
Ninawafahamu wawili ambao ni majirani zangu........
Wote wana matatizo ya kuwa na uhusiano na wanaume usio imara.......
Mmoja uhusiano wake na mumewe unalegalega na wanaishi kwa mazaoea tu lakini kila mtu ana-cheat kwa muda wake na mwingine anabadilisha wanaume kila mara hakai na mwanaume mmoja kwa muda mrefu................
 
Mmh hivi kumbe na wanawake wapo?i never knew!
 
So what do u mean here dingi?
 
Kweli kabisa ila wengi wao huwa hawapigi mikelelw wakati wa mambo yenu yale...wengi huishia kuguna guna tu..so inabidi mwanaume utake party ya kupiga kelele wewe
 
Kweli kabisa ila wengi wao huwa hawapigi mikelelw wakati wa mambo yenu yale...wengi huishia kuguna guna tu..so inabidi mwanaume utake party ya kupiga kelele wewe

Duh!Hii nayo kali aisee!Kumbee!
 
Wapo ila hizo ni hormone za wanaume na hawatofautiani na wale wanawake wenye ndevu au wanaume wenye matiti
 
mmh sijui ni 'garden love' au 'love garden'....aah sorry, naona nimekomfyuzii
 
Wapo ila hizo ni hormone za wanaume na hawatofautiani na wale wanawake wenye ndevu au wanaume wenye matiti

Najua wapo Comi,ila vp taste?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…