Pedeshee212
Member
- Apr 2, 2024
- 72
- 58
Nakuombea.. Nawapenda Sana wanaojishughulisha na kazi za ubunifuTunatoa huduma Bora zaidi ya kudesign eneo lako na kukupandia bustani nzuri ya kisasa kwenye MAZINGIRA yako Tena Kwa gharama nafuu mnoo. Nitafute Kwa Namba hii. 0714693107 napatikana jijini Dar es salaam, Tanzania. Na nawafikia wote hata mlioko mikoni. Karibuni Sana
Picha zipo nyingi kama unataka nikutumieNdio hata vipicha kidogo vya kazi zako usiweke mkuu?
Nataka ndio Ila huoni kama ungetuma na hapa unge draw attention ya watu wengi zaidiPicha zipo nyingi kama unataka nikutumie
Tuma mfano wa kazi zako boss tuonePicha zipo nyingi kama unataka nikutumie