Gardening design and landscaping services

Gardening design and landscaping services

Pedeshee212

Member
Joined
Apr 2, 2024
Posts
30
Reaction score
48
Ninabadilisha na Kuya tengeneza mazingira ya nyumba yako kuwa na mwonekano mzuri wa KISASA kwa gharama nafuu Sana. Ushauri pia unatolewa bure ingawa sio lazima kuuchukua.

ZINGATIA:
Yafanye mazingira ya nyumba yako yawe bora na sio bora mazingira ndipo yatakupa afya na kukufanya uyapende makazi yako.

KWA MAWASILIANO zaidi: 0714693107

FB_IMG_1714074441984.jpg


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
TUNATOA HUDUMA ZOTE ZA DECORATIONS ZA MAKAZI HASA UREMBO WA NJE NA NDANI YA NYUMBA YAKO IKIWEMO KUPIGA RANGI NZURI ZENYE MWONEKANO MZURI WA KISASA.
KARIBU TUKUHUDUMIE : 0714693107

IMG-20240414-WA0093.jpg


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
hongera sana hayo maua ya menyoka mnoo unajua
 
Huduma zetu ni:
1. House building / Ujenzi
2. Painting / Kupiga rangi
3. Molding / Urembo wote wa nyumba
4. Gardening and landscaping
Kwa mawasiliano : 0714693107
Dar es Salaam.

IMG_20240903_132507_380.jpg
 
Gharama zako zipoje kaka?
Gharama zake kaka ni nafuu mnoo. Hii utegemea Aina ya design unayotaka mteja, ukubwa wa eneo lako, na mwonekano Wa eneo lako either steep lope or gental slope.

KWA ushauri wa kitaalam bure: nipigie ndugu tuzungumze: 0714693107
 
Natengeneza, Nauwisha na kusafisha garden ya namna yoyote kwenye makazi, maofisini, maeneo ya biashara na sehemu zinginezo kwa gharama nafuu Sana. Napatikana Dar es Salaam kwa Namba 0714693107. Karibu sana, popote ulipo, nakufikia mteja wangu.
 
Wapendwa Wana Jamii Forum, mimi natoa huduma za kutengeneza, kuuwisha, kurekebisha na kusafisha garden za majumbani na maofisini. Pamoja na hilo, huduma zote za finishing za nyumba, urembo wa namna tofauti wa nyumba vyote nafanya. Msingi wee nitafute kwa Namba : 0714693107. Gharama zangu ni nafuu mnoo, karibuni Sana.
 
Back
Top Bottom