Naiwe fundisho kwa wanaume ote wenyetabia kamaza Gardner wanao penda kuolewa ukiolwa na mwanamke anae kuzidi uwezo lazimama unyanyaswe sasa gardner kwamawazo mgando anataka wagawane wakati alikua ameolewa Et tugawane tulicho chuma ote hicho mlicho chuma ni nini? Matembele au Machungwa
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Kwa hiyo tuseme Jide alikuwa selfish kiasi kwamba mambo mengi alikuwa anajilimbikizia yeye tu?
Btw: ungekuwa wewe ungefanya hivyo? Once again!!!
Baambiege hao... mi nashangaa hadi kare ya leo bado kuna watu wanaamini eti ni aibu kwa mwanaume kudai kugawana mali... utadhani huyo Gardner kazi yake ilikuwa ni kucheza pool na kurudi nyumbani usiku kumsubiri Jide ampe haki kitandani... yaani wala hawataki kuiona role ya Gardner katika mafanikio ya Gardner! Mwanaume anaposema kwa Gardner hiyo ni aibu wala sitashangaa coz' nafahamu hadi leo kuna wanaume wanaoamini katika mfumo dume lakini mbaya ni kwa wanawake kwani hawa ni kama wanaamini wao bado ni inferior class na kwavile bado ni inferior class ni wao ndio wenye haki ya kudai mgawanyo kwavile wao ni watu wa kupewa kupewa tu...!Wanawake ni wabinafsi mnooo. Na wanaume wako biased. Mali zote ni haki bin sawa unless mliingia prenuptial agreement. Kama ni kweli wanaachana gadner ana haki sawa ya kupata nusu ya mali iliyochumwa wakati wa ndoa. Even being there for her ni contribution kwenye maendeleo ya bishosti
Come on Jestina, kwa kiasi kikubwa mafanikio ya sasa yamepatikana wakiwa wote don't tell me kwamba hufahamu soko la muziki wakati ule lilikuwa vipi... by the way, tushasema si kwamba Gardner atakuwa entitled kwa kila kitu bali kile ambacho kina mkono wake! By the way, let me ask you something. Assume kwa pale walipo, Gardner angekuwa ndie mwanamuziki na huyo Jide angekuwa ndie Meneja wa Gardner! Je, unadhani Jide angekuwa na haki ya kudai mgao katika mazingira kama hayo?Pole jide/garner talaka inauma....na afadhali hamna watoto....maana hao ndio huumia zaidi nyie mnaosema garner alimpatia jide network,jide km angekuwa hajajijenga kabla ya kuolewa ningekubaliana na nyinyi, msaada wa garner ni mdogo sana almost neligble!lols km ni nyumba alikuta karibu inapauliwa/finishing...garner/jide kwenda mahakamani ni kuaibishana...you will have bitter divorce bora mngeyamaliza nyumbani!
jide ni mwanamke mwenye kisasi sana!
Waende kwa gwajima wakasuluhishe ndoa
missed you miss neddyni mkurya huwaga hawasamehi kirahisi
missed you miss neddy
Duh! Heaven on Earth ile kukuambia nikuazime tu, umetoka nduki, speed 950! Ndo maana nikakuuliza kama sio under age wewe... nisije nikapelekwa kwa pilato kutokana na makosa ya child abuse!
Mkuu ufafanuzi kidogo. Hivi ana haki ya kudai talaka au kutoa maana nijuavyo mimi wanaume huwa wanatoa talaka na sio kudai talaka.
Good morning to you too... everything around sounds beautiful.miss you too good morning
Hahahahaaa... mwenzio nilishajenga picha jinsi nilivyokuwa nakuona umejificha uvunguni mwa kitanda... c unajua tena ukishakuwa under age... unaona dah, hapa nikifanya mchezo tu, jamaa anaweza kutokezea dirishani sasa dawa ni kula chimbo tu... hutoki!Hahaaaaa mie mkubwa mwenzio.. nilikua nimelala ndio maana ukaona kimya...
Garder hataki kumkomoa Jide bali anastahili mgawanyo wa mali, Wanaume wengi huwa tunaona aibu kuflame kesi kama hizi lakini kwa umri nilioishi nimeona mengi na namuunga mkono Gardner licha ya kwamba mimi ni mshabiki wa Jide ila kwenye haki nasimama upande wa haki.
Kwa kuongeza hapo kwenye kazi na mshahara ambapo hata mimi nilishazugumzia pia Gardner kafanya matangazo sana na to the point hata ile staili yake ya kuingiza jingles imeigwa na watu kibao hivi sasa... ambae hataki kuuona mchango wa Gardner kwa Jide basi huyo ana matatizo!Nimekukubali mkuu kwa hili tuko pamoja, G.Hbash ametengeneza mazingira makubwa kumpandisha lady Jide kufanikisha aliyonayo haya, G. kama meneja, amemtafutia masoko makubwa kwa kumtangaza kila kona pamoja na kumpa mwongozo, hakuna hajuaye kama fedha ni za Jide peke yake kwani na G. H alikuwa anafanya kazi na analipwa posho na mshahara, pamoja na hayo, wanawake wengi wanamuona G.H kama marioo wakati ana kazi yake mzuri na inauzika, G.H. alipotaka kwenda kuajiriwa kenya Jide aliweka ngumu kwa kutegemea biashara yake ingedumaa, hata hivyo G.H. anapendwa sana na media anaweza kujimudu kwa kila kitu.
Nimekukubali mkuu kwa hili tuko pamoja, G.Hbash ametengeneza mazingira makubwa kumpandisha lady Jide kufanikisha aliyonayo haya, G. kama meneja, amemtafutia masoko makubwa kwa kumtangaza kila kona pamoja na kumpa mwongozo, hakuna hajuaye kama fedha ni za Jide peke yake kwani na G. H alikuwa anafanya kazi na analipwa posho na mshahara, pamoja na hayo, wanawake wengi wanamuona G.H kama marioo wakati ana kazi yake mzuri na inauzika, G.H. alipotaka kwenda kuajiriwa kenya Jide aliweka ngumu kwa kutegemea biashara yake ingedumaa, hata hivyo G.H. anapendwa sana na media anaweza kujimudu kwa kila kitu.
Kwa kuongeza hapo kwenye kazi na mshahara ambapo hata mimi nilishazugumzia pia Gardner kafanya matangazo sana na to the point hata ile staili yake ya kuingiza jingles imeigwa na watu kibao hivi sasa... ambae hataki kuuona mchango wa Gardner kwa Jide basi huyo ana matatizo!