Gardner adaiwa kumpandisha Jide kortini

Duuh naona aibu mwanaume kwenda kudai mali za mke hata kama ni haki sawa ..teteteth

All the best G. Habash ulitakiwa na wewe kuwa hard worker katika utafutaji :israel:
 
Gadner acha kutuaibisha wanaume ....kudai talaka na mali kwa mwanamke?
 
Uuuwiiii, Gadner,
Hivi mwanaume hujisikii vibaya kudai talaka,
Uliimbwa mwanaume kama binti kumbe ni kweli.

Komaa mwanaume upate pesa yako ndiyo heshima ya kiumeni;
 
Mwacheni adai Haki yake jide nae kampotezea muda mkaka wa watu kipindi kile alipata mchongo wa kazi Kenya jide akambania.
 
Uuuwiiii, Gadner,
Hivi mwanaume hujisikii vibaya kudai talaka,
Uliimbwa mwanaume kama binti kumbe ni kweli.

Komaa mwanaume upate pesa yako ndiyo heshima ya kiumeni;

Kweli nimeamini chamwanamke chake pekeyake chamwanaume chawote
Gadna anahaki ya kupata mgao wa mali kama wanawake wanavyodai mgao baada ya kutalakiana na ndipo msemo wa haki sawa kwa wote unapotimia
 
Duuh naona aibu mwanaume kwenda kudai mali za mke hata kama ni haki sawa ..teteteth

All the best G. Habash ulitakiwa na wewe kuwa hard worker katika utafutaji :israel:
Swahiba labda wengi hamuelewi kitu kuhusu maisha yao, ukiwa free minded utaelewa kitu. Sipendi kuwa msemaji wa Gardner lakini yuko sahihi na namuunga mkono.
Gadner acha kutuaibisha wanaume ....kudai talaka na mali kwa mwanamke?
Ni jambo la kawaida na la kisheria.
 
Mkuu hivi inawezekana Gadner kila anachochuma including mshahara wake alikuwa na pesa ya Matangazo zote alikuwa anaweka kwenye kapu la Jide? Mimi siamini kama Gadner ni Choka Mbaya watu wanavyotaka kutuaminisha
 
Hahahahaaa... mwenzio nilishajenga picha jinsi nilivyokuwa nakuona umejificha uvunguni mwa kitanda... c unajua tena ukishakuwa under age... unaona dah, hapa nikifanya mchezo tu, jamaa anaweza kutokezea dirishani sasa dawa ni kula chimbo tu... hutoki!

Haaaa ndio kuanzia leo ujue mie mkubwa mwenzio...., hakuna cha kukukimbia wala nini... hapo wife anakua mida ka hii anajua husband anarudi saa 7
 
Mkuu hivi inawezekana Gadner kila anachochuma including mshahara wake alikuwa na pesa ya Matangazo zote alikuwa anaweka kwenye kapu la Jide? Mimi siamini kama Gadner ni Choka Mbaya watu wanavyotaka kutuaminisha
Inawezekana ilikuwa haiingii hata senti tano kwenye kapu la Jide lakini ukweli huo unathibitisha jambo moja kwamba hakuwa Mario kivile kama watu wanavyosema, hiyo moja lakini mbili, hata kama mapato yake yalikuwa hayaingii kwenye a/c ya Jide (for ya pamoja) there's no way kwamba 100% ya mapato ya Gardner Jide alikuwa hagusi... there's no way! Katika mazingira ya mtu mmoja kuwa na kipato kikubwa kuliko mwenzake, wenye busara zao huwa wanaamua mapato ya mwenza mwenye mapato madogo ndiyo yatumike for domestic use na yale makubwa kwa shughuli za maendeleo kwahiyo hata kama labda mapato ya Gardner yalikuwa hayaiingii kwenye kapu kuu bado inawezekana yalikuwa ndiyo yanatumika kwa show za home! But more importantly, sidhani kama Jide alikuwa ana-issue monthly pay check kwa Gardner kutokana na kazi yake kama Meneja na shughuli zingine kadhaa ambazo Gardener alikuwa anazifanya ifo Jide... so, kama Jide hakuwa ana-issue monthly pay check hayo ni mazingira tosha kabisa kila kilichochumwa walikuwa wanakichukulia kama ni cha wote unless proved otherwise!
 
Haaaa ndio kuanzia leo ujue mie mkubwa mwenzio...., hakuna cha kukukimbia wala nini... hapo wife anakua mida ka hii anajua husband anarudi saa 7
Haya mkubwa mwenzangu, once presumably as underage kid, kwahiyo wifey akijua hubby ake atatinga saa 7 ndo inakuaje? Ni kwamba anajua muda bado sana tu kwahiyo anaweza kupeleka utamu mahali pengine kv anajua hadi narudi anakuwa ameshamaliza kila kitu, au?
 
Hapa hakuna tunachojua issue wanaijua wenyewe, gadner sio hana kitu, wakati jide anapiga show gadner ndio anasimamia mapato yote na jamaa zake kuanzia getini mpaka, kwa akili ya kawaida tu hapo vipi kaka, umeachiwa bucha na wa tz tunavyojijua ukipata oppotunities bussines as usual,there something we dont know,kimpango wao wanatuvuluga tu, wakigawana poa wakizulumiana poa vilevile
 
Mimi pia Sikubali kama Gadner alikuwa Marioo coz toka Long time alikuwa ni mchakarikaji Amekuwa mtangazaji mahiri kwa mda mrefu tu na pia amekuwa Meneja wa wasanii kadhaa tofauti na Jide ameshawahi kuwa meneja wa TID, Mr Blue, Ferooz, FA hadi hapo unaona jamaa unaona kabisa jamaa sio Marioo Sema watu wanamchukulia Marioo kwa kuwa kazidiwa Umaarufu na pengine Kipato na Jide
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…