Gardner Habash: Natumia laki 1 kwa siku

Kama ana vitega uchumi haina shida ila kama ndiyo anaishi kwa madeal na mshahara basi ipo siku hiyo laki ataitafuta bila mafanikio.

Afu watanzania tunakuwa nyuma kwa kuwa na matumizi ambayo si ya lazma.
 
[QUOTRugewr gentleman, post: 16187548, member: 95717"]Ujasema ni matumizi ya nini? Inawezekana ni matumizi ya kuzungusha pesa.

Gadna analipwa zaidi ya million 3 pale Clouds na anachukua commission ya matangazo ya Jahazi msimchukulie poa.[/QUOTE]
Huyo Ruge mwenyewe hafikishi mil 2
 
Hiyo laki moja anaitumia katika ukojozaji?
 
Kama ana vitega uchumi haina shida ila kama ndiyo anaishi kwa madeal na mshahara basi ipo siku hiyo laki ataitafuta bila mafanikio.

Afu watanzania tunakuwa nyuma kwa kuwa na matumizi ambayo si ya lazma.
"matumizi ambayo si ya lazma" nimependa[emoji108]
 
sasa ndio ajitangaze?!! amtangaze lady.. alivyomkojoz@!! sasa anatangaza matumizi!! mtu mzima ana mawazo ya kitoto...
Hivi nyie mna tatizo gani hampendi kusikia habari nzuri ya Gadna?

Huyo sura ngumu si alisema yeye ndio anamtunza sasa anaishi maisha yake bado inawaumiza.. Gadna tuko nae batani daily ingekuwa bado yupo kwenye ndoa mngesema za yule uso mgumu ila sasa mnalialia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…